Walawi 14:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kisha kuhani atakayemtakasa atamsimamisha huyo mtu atakayetakaswa, pamoja na vitu vile vyote, mbele za BWANA, mlangoni pa hema ya kukutania; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kuhani atakayemtakasa mtu huyo atamleta mbele ya Mwenyezi-Mungu karibu na mlango wa hema la mkutano pamoja na vitu alivyoleta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kuhani atakayemtakasa mtu huyo atamleta mbele ya Mwenyezi-Mungu karibu na mlango wa hema la mkutano pamoja na vitu alivyoleta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kuhani atakayemtakasa mtu huyo atamleta mbele ya Mwenyezi-Mungu karibu na mlango wa hema la mkutano pamoja na vitu alivyoleta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kuhani anayemtangaza kuwa safi atamkabidhi mtu huyo atakayetakaswa pamoja na sadaka zake zote mbele za Mwenyezi Mungu katika ingilio la Hema la Kukutania. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kuhani atakayemtangaza kuwa safi atahitaji kumkabidhi mgonjwa aliyepona pamoja na sadaka zake zote mbele za bwana katika ingilio la Hema la Kukutania. Tazama sura |