Walawi 13:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Tena kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani upande wa mbele, yeye ni mwenye upara wa kipaji; ni safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upara kwenye paji, ni safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upaa tangu kwenye paji, ni safi. Tazama sura |