Walawi 13:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani mwake, yeye ni mwenye upara, ni safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 “Kama mwanamume amepata upara, yeye ni safi kwani ana upara tu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 “Kama mwanamume amepata upara, yeye ni safi kwani ana upara tu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 “Kama mwanamume amepata upara, yeye ni safi kwani ana upara tu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 “Wakati mwanaume hana nywele naye ana upara, yeye ni safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 “Wakati mwanaume hana nywele naye ana upaa, yeye ni safi. Tazama sura |