Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 11:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

43 Msifanye nafsi zenu kuwa ni chukizo kwa kitu chochote chenye kutambaa, kitambaacho, wala msifanye nafsi zenu kuwa ni najisi kwa vitu hivyo, mkajipatia uchafu kwa hivyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Hivyo msije mkawa najisi kwa kula viumbe vitambaavyo na hivyo mkawa najisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Hivyo msije mkawa najisi kwa kula viumbe vitambaavyo na hivyo mkawa najisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Hivyo msije mkawa najisi kwa kula viumbe vitambaavyo na hivyo mkawa najisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Msijitie unajisi kwa kiumbe chochote kati ya hivi. Msijitie unajisi kwa viumbe hivyo au kutiwa unajisi navyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Msijitie unajisi kwa chochote katika viumbe hivi. Msijitie unajisi kwa viumbe hivyo au kutiwa unajisi navyo.

Tazama sura Nakili




Walawi 11:43
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.


Wakafa watu wote waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu;


Kwa ajili ya hayo mtapambanua kati ya mnyama aliye safi na mnyama aliye najisi, na kati ya ndege aliye safi na ndege aliye najisi; nanyi msizifanye nafsi zenu kuwa machukizo kwa njia ya mnyama, au kwa njia ya ndege, au kwa njia ya kitu chochote ambacho nchi imejaa nacho, nilichokitenga nanyi kuwa ni najisi.


au mtu amgusaye mnyama atambaaye, wa kumpatia unajisi, au kwamba amgusa mtu wa kumpatia unajisi, kwa unajisi wowote ule alio nao;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo