Walawi 11:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Lakini ikiwa hizo mbegu zilitiwa maji na chochote cha mizoga yao kuziangukia, ni najisi kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Lakini ikiwa mbegu zimetiwa katika maji ili kuota na sehemu yoyote ya mzoga ikaziangukia, basi, mbegu hizo ni najisi kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Lakini ikiwa mbegu zimetiwa katika maji ili kuota na sehemu yoyote ya mzoga ikaziangukia, basi, mbegu hizo ni najisi kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Lakini ikiwa mbegu zimetiwa katika maji ili kuota na sehemu yoyote ya mzoga ikaziangukia, basi, mbegu hizo ni najisi kwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Lakini kama mbegu imetiwa maji na mzoga ukaanguka juu yake, hiyo mbegu ni najisi kwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Lakini kama mbegu imetiwa maji na mzoga ukaanguka juu yake, hiyo mbegu ni najisi kwenu. Tazama sura |