Walawi 11:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Na kipande chochote cha mzoga kikiwa kimeangukia mbegu za kupandwa, zitakazopandwa zitakuwa safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Iwapo sehemu ya mzoga inaziangukia mbegu za kupanda, mbegu hizo hazitakuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Iwapo sehemu ya mzoga inaziangukia mbegu za kupanda, mbegu hizo hazitakuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Iwapo sehemu ya mzoga inaziangukia mbegu za kupanda, mbegu hizo hazitakuwa najisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Kama mzoga ukianguka juu ya mbegu zozote ambazo ni za kupanda, zinabaki safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Kama mzoga ukianguka juu ya mbegu zozote ambazo ni za kupanda, zinabaki safi. Tazama sura |