Walawi 11:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Chakula chochote cha kuliwa kitakuwa najisi kikitiwa maji ya chombo hicho; na kila kinyweo ambacho ni cha kunywewa, kilichomo katika chombo kama hicho, kitakuwa ni najisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Chakula chochote ambacho chaweza kuliwa lakini kikawa kimeingia maji kutoka chungu hicho ni najisi, na kitu chochote cha majimaji ambacho chaweza kunyweka kutoka chungu hicho ni najisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Chakula chochote ambacho chaweza kuliwa lakini kikawa kimeingia maji kutoka kwenye chungu hicho ni najisi, na kitu chochote cha majimaji ambacho chaweza kunyweka kutoka kwenye chungu hicho ni najisi. Tazama sura |