Walawi 11:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, mwenye miguu iliyopasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mwaweza kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mwaweza kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua. Tazama sura |