Walawi 11:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 na mtu awaye yote atakayechukua chochote cha mizoga yao atafua nguo zake, naye atakuwa najisi hata jioni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mtu akichukua sehemu ya mizoga yake atakuwa najisi mpaka jioni, na mavazi yake ni lazima yafuliwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mtu akichukua sehemu ya mizoga yake atakuwa najisi mpaka jioni, na mavazi yake ni lazima yafuliwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mtu akichukua sehemu ya mizoga yake atakuwa najisi mpaka jioni, na mavazi yake ni lazima yafuliwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Yeyote atakayebeba mizoga ya viumbe hawa ni lazima afue nguo zake, naye atakuwa najisi hadi jioni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Yeyote atakayebeba mizoga ya viumbe hawa ni lazima afue nguo zake, naye atakuwa najisi mpaka jioni. Tazama sura |