Walawi 11:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Kisha katika ndege hawa watakuwa ni machukizo kwenu; hawataliwa, ndio machukizo; tai, na furukombe, na kipungu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Ndege wote wafuatao ni najisi kwenu; hivyo msile: Tai, furukombe, kipungu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Ndege wote wafuatao ni najisi kwenu; hivyo msile: Tai, furukombe, kipungu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Ndege wote wafuatao ni najisi kwenu; hivyo msile: tai, furukombe, kipungu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “ ‘Wafuatao ndio ndege watakaokuwa machukizo kwenu, hivyo msiwale kwa sababu ni chukizo: tai, furukombe, kipungu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “ ‘Wafuatao ndio ndege watakaokuwa machukizo kwenu, hivyo msiwale kwa sababu ni chukizo: tai, furukombe, kipungu, Tazama sura |