Walawi 10:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Kisha moto ukatoka hapo mbele za BWANA, na ukawateketeza, nao wakafa mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Basi, moto ukatokea mbele ya Mwenyezi-Mungu, ukawateketeza hao vijana, wakafa mbele yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, moto ukatokea mbele ya Mwenyezi-Mungu, ukawateketeza hao vijana, wakafa mbele yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, moto ukatokea mbele ya Mwenyezi-Mungu, ukawateketeza hao vijana, wakafa mbele yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Hivyo moto ukaja kutoka kwa uwepo wa Mwenyezi Mungu na kuwateketeza, nao wakafa mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Hivyo moto ukaja kutoka kwa uwepo wa bwana na kuwaramba, nao wakafa mbele za bwana. Tazama sura |