Walawi 1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 kisha atakiondoa kile kibofu chake, pamoja na taka zake, na kukitupa kando ya madhabahu upande wa mashariki, mahali pa majivu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kibofu chake pamoja na uchafu wake ataviondoa na kutupa upande wa mashariki wa madhabahu ambako majivu huwekwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kibofu chake pamoja na uchafu wake ataviondoa na kutupa upande wa mashariki wa madhabahu ambako majivu huwekwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kibofu chake pamoja na uchafu wake ataviondoa na kutupa upande wa mashariki wa madhabahu ambako majivu huwekwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ataondoa kifuko cha chakula pamoja na uchafu wake na kuvitupa upande wa mashariki wa madhabahu, mahali pale penye majivu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ataondoa kifuko cha chakula pamoja na uchafu wake na kuvitupa upande wa mashariki wa madhabahu, mahali pale penye majivu. Tazama sura |