Walawi 1:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Naye atamchinja hapo upande wa madhabahu ulioelekea kaskazini mbele za BWANA; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake juu ya madhabahu pande zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu, mbele ya Mwenyezi-Mungu, hao makuhani, wazawa wa Aroni watainyunyizia madhabahu damu pande zake zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu, mbele ya Mwenyezi-Mungu, hao makuhani, wazawa wa Aroni watainyunyizia madhabahu damu pande zake zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu, mbele ya Mwenyezi-Mungu, hao makuhani, wazawa wa Aroni watainyunyizia madhabahu damu pande zake zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu mbele za Mwenyezi Mungu, nao wana wa Haruni walio makuhani watanyunyizia damu yake pande zote za madhabahu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu mbele za bwana, nao wana wa Haruni walio makuhani watanyunyizia damu yake pande zote za madhabahu. Tazama sura |