Wakolosai 4:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 ili niidhihirishe, kama inipasavyo kunena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ombeni ili nipate kuitangaza hiyo siri kwa udhahiri kama inipasavyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ombeni ili nipate kuitangaza Injili kwa udhahiri kama ipasavyo kunena. Tazama sura |