Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 4:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Wasalimuni ndugu walioko Laodikia, na Nimfa, na kanisa lililo katika nyumba yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Salamu zetu kwa ndugu wa Laodikea. Msalimuni dada Nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Salamu zetu kwa ndugu wa Laodikea. Msalimuni dada Nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Salamu zetu kwa ndugu wa Laodikea. Msalimuni dada Nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wasalimuni ndugu wote wa Laodikia, na pia Nimfa, pamoja na kundi la waumini wanaokutana katika nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wasalimuni ndugu wote wa Laodikia, na pia Nimfa, pamoja na kundi la waumini linalokutana katika nyumba yake.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 4:15
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nisalimieni Epaineto, mpenzi wangu, aliye malimbuko ya Asia kwa Kristo.


kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wako wengi wanipingao.


Maana nataka ninyi mjue jinsi ilivyo kuu juhudi yangu niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili;


Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili ya hao walioko Laodikia, na kwa ajili ya hao walioko Hierapoli.


Waraka huu ukiisha kusomwa kwenu hakikisheni kwamba unasomwa katika kanisa la Walaodikia pia; na ule wa Laodikia usomwe na ninyi.


na kwa Afia, dada yetu, na kwa Arkipo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo