Wakolosai 3:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mwenyezi Mungu inakuja. Tazama sura |