Wakolosai 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe wakali kwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao. Tazama sura |