Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Wakolosai 3:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana Isa.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 3:18
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa uchungu utazaa watoto; hata hivyo, hamu yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.


Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.


Petro na mitume wakajibu, wakisema, Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.


Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.


Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.


Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.


Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wowote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu;


kwa kuwa tunda la nuru ni katika wema wote na haki na kweli;


Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe msikivu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo