Wakolosai 3:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo, kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo, kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo, kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Zaidi ya maadili haya yote jivikeni upendo, ambao ndio unaofunga kila kitu pamoja katika umoja mkamilifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Zaidi ya maadili haya yote jivikeni upendo, ambao ndio unaofunga kila kitu pamoja katika umoja mkamilifu. Tazama sura |