Wakolosai 2:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Hizi zilikuwa kivuli cha mambo yajayo; lakini uhalisi unapatikana kwa Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Hizi zilikuwa kivuli cha mambo ambayo yangekuja, lakini ile iliyo halisi imo ndani ya Al-Masihi. Tazama sura |