Wakolosai 1:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote, bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Hii ni siri iliyokuwa imefichika tangu zamani na kwa vizazi vingi, lakini sasa imefunuliwa kwa watakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Hii ni siri iliyokuwa imefichika tangu zamani na kwa vizazi vingi, lakini sasa imefunuliwa kwa watakatifu. Tazama sura |