Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 1:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 ambalo nimefanywa mhudumu wake, kulingana na uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Mimi nimekuwa mtumishi wa jumuiya ya waumini kwa wajibu alionipa Mungu ili kuwaletea ninyi neno la Mungu kwa ukamilifu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Mimi nimekuwa mtumishi wa jumuiya ya waumini kwa wajibu alionipa Mwenyezi Mungu ili kuwaletea ninyi Neno la Mungu kwa ukamilifu:

Tazama sura Nakili




Wakolosai 1:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Apolo ni nani? Na Paulo ni nani? Ni wahudumu ambao kwao mliamini; na kila mtu kama Bwana alivyompa.


Maana nikiitenda kazi hii kwa hiari yangu nina thawabu; ila ikiwa si kwa hiari yangu, nimeaminiwa uwakili.


ikiwa mmesikia habari ya uwakili wa neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu;


Injili hiyo ambayo nilifanywa mhudumu wake, kwa kadiri ya kipawa cha neema ya Mungu niliyopewa kwa kadiri ya utendaji wa uweza wake.


mkidumu tu katika ile imani, hali mmewekwa juu ya msingi, mkawa imara; msipogeuzwa na kuliacha tumaini la Injili mliyosikia habari zake, iliyohubiriwa kwa viumbe vyote vilivyo chini ya mbingu; ambayo mimi Paulo nilikuwa mhudumu wake.


Tukamtuma Timotheo ndugu yetu, mtumishi wa Mungu katika Injili ya Kristo, ili kuwafanya ninyi imara na kuwafariji katika imani yenu;


Uwakumbushe ndugu mambo hayo, nawe utakuwa mtumishi mwema wa Kristo Yesu, na mzoefu wa maneno ya imani, na mafundisho mazuri yale uliyoyafuata.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo