Wakolosai 1:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Na ninyi, mliokuwa hapo kwanza mmetengwa, tena adui katika nia zenu, kwa matendo yenu mabaya, amewapatanisha sasa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Hapo kwanza nyinyi pia mlikuwa mbali na Mungu na mlikuwa maadui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Hapo kwanza nyinyi pia mlikuwa mbali na Mungu na mlikuwa maadui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Hapo kwanza nyinyi pia mlikuwa mbali na Mungu na mlikuwa maadui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Hapo kwanza mlikuwa mmetengana na Mungu, na mlikuwa adui zake katika nia zenu kwa sababu ya mienendo yenu mibaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Hapo kwanza mlikuwa mmetengana na Mwenyezi Mungu, na mlikuwa adui zake katika nia zenu kwa sababu ya mienendo yenu mibaya. Tazama sura |