Wakolosai 1:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kwake vitu vyote vilipatanishwa na Mungu: Na kwa damu yake msalabani akafanya amani na vitu vyote duniani na mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kwake vitu vyote vilipatanishwa na Mungu: Na kwa damu yake msalabani akafanya amani na vitu vyote duniani na mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kwake vitu vyote vilipatanishwa na Mungu: na kwa damu yake msalabani akafanya amani na vitu vyote duniani na mbinguni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 na kupitia kwake aweze kuvipatanisha vitu vyote kwake mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake iliyomwagika msalabani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 na kwa njia yake aweze kuvipatanisha vitu vyote na yeye mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake, iliyomwagika msalabani. Tazama sura |