Wakolosai 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Yeye alikuwako kabla ya vitu vyote; vyote huendelea kuwako kwa uwezo wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Yeye alikuwako kabla ya vitu vyote; vyote huendelea kuwako kwa uwezo wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Yeye alikuwako kabla ya vitu vyote; vyote huendelea kuwako kwa uwezo wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Yeye alikuwako kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Yeye alikuwepo kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja. Tazama sura |