Wagalatia 5:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Katika uhuru huo Kristo alituweka huru; kwa hiyo simameni, wala msinaswe tena chini ya kongwa la utumwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Basi, simameni imara wala msikubali tena kuwa chini ya nira ya utumwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Basi, simameni imara wala msikubali tena kuwa chini ya nira ya utumwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Basi, simameni imara wala msikubali tena kuwa chini ya nira ya utumwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Al-Masihi alitupatia uhuru, akataka tubaki huru. Hivyo simameni imara wala msikubali tena kulemewa na nira ya utumwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Al-Masihi alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Hivyo simameni imara wala msikubali tena kulemewa na kongwa la utumwa. Tazama sura |