Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wagalatia 4:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Kwa hiyo, ndugu zangu, sisi si watoto wa mjakazi, bali tu watoto wa huyo aliye muungwana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Hivyo basi, ndugu, sisi si watoto wa mtumwa bali wa mama huru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Hivyo basi, ndugu, sisi si watoto wa mtumwa bali wa mama huru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Hivyo basi, ndugu, sisi si watoto wa mtumwa bali wa mama huru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Kwa hiyo ndugu zangu, sisi si watoto wa mwanamke mtumwa, bali wa yule aliye huru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Kwa hiyo ndugu zangu, sisi si watoto wa mwanamke mtumwa, bali wa yule aliye huru.

Tazama sura Nakili




Wagalatia 4:31
8 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.


Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Abrahamu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mwingine kwa mwanamke huru.


Lakini lasemaje andiko? Mfukuze mjakazi na mwanawe, kwa maana mwana wa mjakazi hatarithi kabisa pamoja na mwana wa muungwana.


Katika uhuru huo Kristo alituweka huru; kwa hiyo simameni, wala msinaswe tena chini ya kongwa la utumwa.


Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo