Wagalatia 4:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Basi, ndugu zangu, kama Isaka sisi tu watoto wa ahadi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Sasa, basi, ndugu zangu, nyinyi ni watoto wa Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa Isaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Sasa, basi, ndugu zangu, nyinyi ni watoto wa Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa Isaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Sasa, basi, ndugu zangu, nyinyi ni watoto wa Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa Isaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaka, tu watoto wa ahadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaka, tu watoto wa ahadi. Tazama sura |