Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wagalatia 4:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Abrahamu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mwingine kwa mwanamke huru.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu kwamba Abrahamu alikuwa na watoto wawili: Mmoja kwa mwanamke mtumwa, na wa pili kwa mwanamke huru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu kwamba Abrahamu alikuwa na watoto wawili: Mmoja kwa mwanamke mtumwa, na wa pili kwa mwanamke huru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu kwamba Abrahamu alikuwa na watoto wawili: mmoja kwa mwanamke mtumwa, na wa pili kwa mwanamke huru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kwa maana imeandikwa kwamba Ibrahimu alikuwa na wana wawili, mmoja wa mwanamke mtumwa na wa pili wa mwanamke huru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kwa maana imeandikwa kwamba Ibrahimu alikuwa na wana wawili, mmoja wa mwanamke mtumwa na wa pili wa mwanamke huru.

Tazama sura Nakili




Wagalatia 4:22
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hajiri akamzalia Abramu mwana wa kiume; Abramu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe, ambaye Hajiri alimzaa.


Kwa hiyo akamwambia Abrahamu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.


Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwanamke huru kwa ahadi.


Lakini lasemaje andiko? Mfukuze mjakazi na mwanawe, kwa maana mwana wa mjakazi hatarithi kabisa pamoja na mwana wa muungwana.


Kwa hiyo, ndugu zangu, sisi si watoto wa mjakazi, bali tu watoto wa huyo aliye muungwana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo