Wagalatia 3:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Kama vile Abrahamu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: Yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: Yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kama vile “Ibrahimu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kama vile “Ibrahimu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.” Tazama sura |