Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wagalatia 3:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Lakini kwa vile ile imani imekwisha fika, sisi hatuko tena chini ya mlezi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Lakini kwa vile ile imani imekwisha fika, sisi hatuko tena chini ya mlezi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Lakini kwa vile ile imani imekwisha fika, sisi hatuko tena chini ya mlezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na Torati.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na sheria.

Tazama sura Nakili




Wagalatia 3:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sheria, bali chini ya neema.


Kadhalika, ndugu zangu, ninyi pia mmeifia torati, kwa njia ya mwili wa Kristo, mpate kuwa mali ya mwingine, yeye aliyefufuka katika wafu, kusudi tumzalie Mungu matunda.


Kwa kuwa ijapokuwa mna waalimu elfu kumi katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Maana mimi ndimi niliyewazaa katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili.


Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo