Wagalatia 2:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Siibatili neema ya Mungu; maana, ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria, basi Kristo alikufa bure. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Sipendi kuikataa neema ya Mungu. Kama mtu hufanywa mwadilifu kwa njia ya sheria, basi, Kristo alikufa bure! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Sipendi kuikataa neema ya Mungu. Kama mtu hufanywa mwadilifu kwa njia ya sheria, basi, Kristo alikufa bure! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Sipendi kuikataa neema ya Mungu. Kama mtu hufanywa mwadilifu kwa njia ya sheria, basi, Kristo alikufa bure! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Siibatilishi neema ya Mungu, kwa maana kama haki ingeweza kupatikana kupitia kwa Torati, basi Al-Masihi alikufa bure!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Siibatilishi neema ya Mungu, kwa maana kama haki ingeweza kupatikana kwa njia ya sheria, basi Al-Masihi alikufa bure!” Tazama sura |