Wagalatia 1:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana wetu Yesu Kristo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Neema na amani zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi, Tazama sura |