Wafilipi 4:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Si kwamba nakitamani kile kipawa, bali nayatamani mazao yanayozidi kuwa mengi, katika hesabu yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Sio kwamba napenda tu kupokea zawadi; ninachotaka ni faida iongezwe katika hazina yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Sio kwamba napenda tu kupokea zawadi; ninachotaka ni faida iongezwe katika hazina yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Sio kwamba napenda tu kupokea zawadi; ninachotaka ni faida iongezwe katika hazina yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Si kwamba natafuta sana yale matoleo, bali natafuta sana ile faida itakayozidi sana kwa upande wenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Si kwamba natafuta sana yale matoleo, bali natafuta sana ile faida itakayozidi sana kwa upande wenu. Tazama sura |