Wafilipi 4:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Lakini mlifanya vema, mliposhiriki nami katika dhiki yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hata hivyo, nyinyi mlifanya vema kwa kushirikiana nami katika taabu zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hata hivyo, nyinyi mlifanya vema kwa kushirikiana nami katika taabu zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hata hivyo, nyinyi mlifanya vema kwa kushirikiana nami katika taabu zangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu. Tazama sura |