Wafilipi 3:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, niliyahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini hayo yote ambayo ningeweza kuyafikiria kuwa ni faida, nimeyaona kuwa ni hasara, kwa ajili ya Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini hayo yote ambayo ningeweza kuyafikiria kuwa ni faida, nimeyaona kuwa ni hasara, kwa ajili ya Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini hayo yote ambayo ningeweza kuyafikiria kuwa ni faida, nimeyaona kuwa ni hasara, kwa ajili ya Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, sasa nayahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, sasa nayahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Al-Masihi. Tazama sura |