Wafilipi 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 ili nimjue yeye, na uweza wa kufufuka kwake, na ushirika wa mateso yake, nikifananishwa na kufa kwake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ninachotaka tu ni kumjua Kristo na kuiona nguvu ya ufufuo wake, kushiriki mateso yake na kufanana naye katika kifo chake, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ninachotaka tu ni kumjua Kristo na kuiona nguvu ya ufufuo wake, kushiriki mateso yake na kufanana naye katika kifo chake, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ninachotaka tu ni kumjua Kristo na kuiona nguvu ya ufufuo wake, kushiriki mateso yake na kufanana naye katika kifo chake, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nataka nimjue Al-Masihi na uweza wa kufufuka kwake na ushirika wa mateso yake, ili nifanane naye katika mauti yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nataka nimjue Al-Masihi na uweza wa kufufuka kwake na ushirika wa mateso yake, ili nifanane naye katika mauti yake, Tazama sura |