Wafilipi 2:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, Tazama sura |