Waefeso 5:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya heshima mliyo nayo kwa Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya heshima mliyo nayo kwa Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya heshima mliyo nayo kwa Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kutokana na kumcha Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Al-Masihi. Tazama sura |