Waefeso 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Acheni kulewa divai maana hiyo itawaangamiza, bali mjazwe Roho Mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Acheni kulewa divai maana hiyo itawaangamiza, bali mjazwe Roho Mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Acheni kulewa divai maana hiyo itawaangamiza, bali mjazwe Roho Mtakatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo mna upotovu, bali mjazwe Roho wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho. Tazama sura |