Waefeso 5:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 mkiukomboa wakati kwa maana nyakati hizi ni za uovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu. Tazama sura |