Waefeso 5:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Basi angalieni sana jinsi mnavyoenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi. Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi. Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi. Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima, Tazama sura |