Waefeso 5:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mambo yanayotendwa kwa siri ni aibu hata kuyataja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mambo yanayotendwa kwa siri ni aibu hata kuyataja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mambo yanayotendwa kwa siri ni aibu hata kuyataja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini. Tazama sura |