Waefeso 4:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkasameheane kama Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe nyinyi kwa njia ya Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe nyinyi kwa njia ya Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe nyinyi kwa njia ya Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Kuweni wafadhili na wenye kuhurumiana ninyi kwa ninyi, mkisameheana, kama vile naye Mungu katika Al-Masihi alivyowasamehe ninyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Kuweni wafadhili na wenye kuhurumiana ninyi kwa ninyi, mkisameheana, kama vile naye Mwenyezi Mungu katika Al-Masihi alivyowasamehe ninyi. Tazama sura |