Waefeso 3:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 ikiwa mmesikia habari ya uwakili wa neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Bila shaka mmekwisha sikia kwamba Mungu, kwa neema yake, alinikabidhi kazi hii niifanye kwa faida yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Bila shaka mmekwisha sikia kwamba Mungu, kwa neema yake, alinikabidhi kazi hii niifanye kwa faida yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Bila shaka mmekwisha sikia kwamba Mungu, kwa neema yake, alinikabidhi kazi hii niifanye kwa faida yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kwa hakika mmekwisha kusikia kuhusu ile huduma ya neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kwa hakika mmekwisha kusikia kuhusu ile huduma ya neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu, Tazama sura |