Waebrania 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Maana, anapowalaumu, asema, Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Lakini Mungu aliwalaumu watu wake aliposema: “Siku zinakuja, asema Bwana, ambapo nitafanya agano jipya na watu wa Israeli na wa Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini Mungu aliwalaumu watu wake aliposema: “Siku zinakuja, asema Bwana, ambapo nitafanya agano jipya na watu wa Israeli na wa Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini Mungu aliwalaumu watu wake aliposema: “Siku zinakuja, asema Bwana, ambapo nitafanya agano jipya na watu wa Israeli na wa Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Lakini Mungu aliona kosa kwa watu, naye akasema: “Siku zinakuja, asema Mwenyezi Mungu, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Lakini Mwenyezi Mungu aliona kosa kwa watu, naye akasema: “Siku zinakuja, asema Bwana Mwenyezi, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. Tazama sura |