Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 7:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 maana ameshuhudiwa kwamba, Wewe u kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”

Tazama sura Nakili




Waebrania 7:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA ameapa, Wala hataghairi, Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.


kisha ametajwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kwa mfano wa Melkizedeki.


Kama asemavyo mahali pengine, Ndiwe kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki.


alimoingia Yesu kwa ajili yetu, mtangulizi wetu, amekuwa kuhani mkuu hata milele kwa mfano wa Melkizedeki.


Basi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi; (maana watu wale waliipata sheria kwa huo); kulikuwa na haja gani tena ya kuhani mwingine awepo, kwa mfano wa Melkizedeki, wala asihesabiwe kwa mfano wa Haruni?


Tena hayo tusemayo ni dhahiri sana zaidi, ikiwa ametokea kuhani mwingine kama Melkizedeki;


(maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; bali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia, Bwana ameapa wala hataghairi, Wewe u kuhani milele;)


Tufuate:

Matangazo


Matangazo