Waebrania 7:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Tena hayo tusemayo ni dhahiri sana zaidi, ikiwa ametokea kuhani mwingine kama Melkizedeki; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: Kuhani mwingine anayefanana na Melkisedeki amekwisha tokea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: Kuhani mwingine anayefanana na Melkisedeki amekwisha tokea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: kuhani mwingine anayefanana na Melkisedeki amekwisha tokea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Tena hayo tuliyosema yako wazi zaidi kama akitokea kuhani mwingine kama Melkizedeki, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Tena hayo tuliyosema yako wazi zaidi kama akitokea kuhani mwingine kama Melkizedeki, Tazama sura |