Waebrania 6:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa. Tazama sura |