Waebrania 13:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Nami nawasihi zaidi sana kufanya hayo ili nirudishwe kwenu upesi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. Tazama sura |